Jonathan Huggins
Swahili practice Jina lako ni nani? Ninaitwa Jonathan. Unatokea wapi? Ninatokea Marekani. Umeoa? Ndio, nimeoa. Unao watoto wangapi? Ninao watoto wawili. Unasema Kiswahili? Ninaongea Kiswahili kidogo tu. Ninataka kusoma kiswahili.
2016年1月19日 21:51
修正 · 1
Nini 'umeoa' manaa gani?
2016年2月2日
想進步快一點嗎?
加入此學習社群,來試做免費的練習吧!