搜尋自 英語 {1} 教師……
[已刪除]
Nyakati/Tenses
Habari,
Leo tutajifunza wakati uliopo, wakati uliopita na wakati ujao katika Kiswahili. Today we are going to learn the simple present, simple past and simple future tenses in Swahili.
Nitatumia vitenzi virahisi. I am going to use these easy and regular verbs: kupenda (to like/love), kulala (to sleep), kuongea (to speak) and a noun, kesho (tomorrow).
Kwa maswali, kuwa huru kunitumia ujumbe. For any questions, feel free to message me.
Asu.
2016年7月26日 09:50



