Sean
Nataka kuuliza...'sheng' huzungumzwa Tanzania?
2015年2月10日 17:59
解答 · 1
Ndio inazungumzwa hapa Tanzania, kwa kawaida tunaiita kiswanglishi yaani mchanganyiko wa lugha ya kiswahili na kiingereza
2020年3月19日
還沒找到你要的答案嗎?
寫下你的問題,讓母語者來幫助你!