ابحث بين معلمي الإنجليزية المتعددين...
Austin
مُعلم محترفMimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
١٦ مارس ٢٠٢٢ ٢٣:٢٦
Austin
المهارات اللغوية
الأمهرية, الشيشيوا, الإنجليزية, الإسبانية, السواحيلية, الزولو
لغة التعلّم
الزولو
مقالات قد تعجبك أيضًا

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 تأييدات · 17 التعليقات

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 تأييدات · 12 التعليقات

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 تأييدات · 6 التعليقات
مقالات أكثر
