Mimi nataka kujifunza Kiswahili kwa ajili yangu ya kwenda kuenda Mombasa na kufanya kazi katika nyumba ya mayatima.
Jina langu ni Susanne, na mara hii ndoto ya yangu imekuwa kuja kweli. :))
ningependa kujifunza Kiswahili kwa ajili ya kwenda Mombasa, kufanya kazi katika nyumba za mayatima.
Jina langu ni Susanne, nina ndoto ya kwenda kuja huko