Wählen Sie aus verschiedenen Englisch Lehrkräften für ...
Daniel.Anderson
Please excuse my horrible Swahili, I promise to improve ^__^ Kila mtu habari!!! Jina langu Daniel Anderson na mimi ni kumi na nane. Naandika jarida hii kwa sababu nataka practice Kiswahili changu mengi. Nilikaa Scarborough Ontario na nilikuwa na Marafiki wanatoka Kenya na wanasema kiswahili. Lakini back then mimi ni mtoto mdogo na sitaki kujifunza Kiswahili, kwa ajili ya sijifunzi. Lakini sasa that I am older nataka kujifunza lugha I used to hear zaidi kila siku. Kiswahili ni tofauti sana kutoka kingerza lakini nimeipenda sana. Sisemi kuwa na marafiki wangu lakini I try kujifunza kila siku. Mimi siyo njema sana yet lakini nitapata pale siku moja. Kwa herini. Kuwa na salama -Daniel Anderson
4. Mai 2013 02:10

Verpassen Sie nicht die Gelegenheit, bequem von zu Hause aus eine Sprache zu lernen. Stöbern Sie in unserer Auswahl an erfahrenen Sprachlehrern und melden Sie sich jetzt zu Ihrer ersten Unterrichtsstunde an!