Trova Inglese Insegnanti
zachariah getubo
Tutor della Community
Swahili for 21 days ( day 4 challenge)
Kutunga sentensi katika lugha ya Kiswahili.

Ili sentensi kuwa kamili, inahitaji zaidi ya aina moja ya neno la Kiswahili kama vile nomino, kiunganishi na kitenzi au kiwakilishi na kielezi au nomino na kitenzi pekee, kwa mfano;

-Kiti kimevunjika
-Aliyekuja hapa ni mwalimu
-Hapa ni kwao
-Mpira umetoboka
-Ukirukaruka ovyo utaumia
-Joshua ni mmarekani

Je waweza kutunga sentensi ukitumia aina zozote za maneno ya Kiswahili,,,,,,,?
14 lug 2020 09:11