Swahili Challenge for 21 days ( day 9)
VISAWE (<em> synonyms )</em>
<em>haya ni maneno yenye maana sawa</em>
<em> Mfano ( examples )</em>
Msichana au banati ( a girl)
Huzuni au majonzi ( sorrow)
Barua au waraka ( a letter )
Mtu au mja ( a person)
Mungu, mola, rabana, jalali, rabuka ( God)