Yote kuhusu yangu
Yote kunihusu (All about myself)
Nitafasiri toka Kiingereza kwa Kiswahili:
Nitatafsiri kutoka Kiingereza hadi Kiswahili: (I'll translate from English to Kiswahili:)
"Greetings, my name is Nevin Janzen and I am a language enthusiast. I am from the province of Alberta, Canada and I have been learning Swahili (Standard/Tanzanian) for almost 4 months. I would love to learn Esperanto and Canadian (Québec) French over the next year as well. I have a passion for communicating with people from other cultures and languages.
Best regards,
Nevin"
"Hujambo Hamjamboni, jina langu ni Daudi Zekaria Nevin Janzen na mimi ni mshabiki wa lugha. Natoka Nitokako ni mkoa wa Alberta, Kanada na nimejifunza nimekuwa nikijifunza Kiswahili cha Tanzania kwa karibumiezi minne. Ningependa kujifunza Kiesperanto na Kifaransa cha Kanada pia katika mwaka ujaopia. Nina shauku ya kuzungumza kwa kuwasiliana na watu wa tamaduni na lugha mbalimbali na lugha.
Shikamoo Nikiwatakia mema kabisa,
Daudi Nevin."
Asante sana kwa kusaidia mimi kunisaidia! Heri zote!