Tense and vocab practice
Mwezi uliopita mtoto hakulia,lakini kesho atalia.
Mimi ninakula ndizi.
Jana wanafunzi walitazama filamu lakini kesho wataenda kazini.
Yeye anapenda kula kuku lakini anapenda kula samaki pia.
Jana sisi tulikunywa kahawa lakini kesho tutataka kunywa chai.
Tense and vocab practice
Mwezi uliopita mtoto alilia,lakini kesho hatalia.
Mimi ninakula ndizi.
Jana wanafunzi walitazama filamu, lakini kesho wataenda kazini.
Yeye anapenda kula kuku na samaki.
Jana tulikunywa kahawa, lakini kesho tutataka kunywa chai.