zachariah getubo
Tutor della Community
Lugha ya kiswahili ni Lugha ambayo imejipa umaarufu mwingi katika miaka michache iliyopita. Ni Lugha ambayo ilizaliwa katika miaka ya nyuma kutokana na mwingiliano baina ya waarabu wafanyabiashara wa kwanza Afrika na wabantu kutoka barani afrika mashariki. Wazungumzaji wa Lugha hii wana tamaduni tofauti tofauti haswa wale wakaao pwani ya Kenya.
0:38
15 ago 2021 08:31