#DailyVocabulary
Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, dunia imeshuhudia changamoto mbalimbali. Je , kwa maoni yako ni mwaka gani una changamoto zaidi kati ya 2020 na 2021?
( in the period of the past 2 years, the world has experienced various challenges. In your opinion which year is more challenging between 2020 and 2021? )
For beginners,
shuhudia ------------- to witness
Kipindi ---------------- period (noun class: KI/VI, plural form is Vipindi)
changamoto --------- challenge ( noun class: I/ZI, plural form: changamoto)
mbalimbali ----------- various
kati ya ---------------- between
Mwaka ujao ---------- next year
miaka miwili ijayo ----------- the next 2 years
The following picture has vocabulary related to the year, which comes in handy when discussing past events or planning for future events. Enjoy