zachariah getubo
Репетитор сообщества
Jifunze Kiswahili kwa siku 21 ( swahili 21 days challenge )

Day 1

Matumizi ya amba katika umoja na wingi. 
UMOJA           WINGI
Sufuria ambayo- sufuria ambazo
Kalamu ambayo- Kalamu ambazo.
Ukuta ambao - kuta ambazo.
Ulimi ambao- Ndimi ambazo.
Paka ambaye -Paka ambao


-
MATUMIZI KATIKA SENTENSI.
Paka aliangusha sufuria ambàyo ilikuwa na nyama.
Paka waliangusha sufuria ambazo zilikuwa na nyama.
Mpe kalamu ambayo ina wino. 
Wape kalamu ambazo zina wino.
Ule ukuta ambao una ufa utakarabatiwa.
Zile kuta ambazo zina nyufa zitakarabàtiwa.
Ulimi ambao unaona ni muhimu.
Ndimi ambazo zinaonja ni muhimu
6 июля 2020 г., 4:26
Комментариев · 1
Matumizi ya amba katika ngeli tofauti tofauti
8 июля 2020 г.