Выбрать из множества учителей по предмету английский...
Eduardo
Swahili Sentences Part 5 1) Dada yangu anaishi hapa karibu. 2) Mwangu anaishi karibu ya mto. 3) Baba yangu anaishi mbali ya ziwa. 4) Stesheni la basi liko mbele ya benki. 5) Kitanda changu kina viroboto. 6) Vingi viroboto 7) Kuna chura na kitanda changu.

Исправления · 2

1

Swahili Sentences Part 5

1) Dada yangu anaishi hapa karibu.
2) Mwanangu anaishi karibu na mto.
3) Baba yangu anaishi mbali na ziwa.
4) Stesheni la basi liko mbele ya benki.
5) Kitanda changu kina viroboto.
6) Viroboto vingi
7) Kuna chura kwenye/chini ya kitanda changu.
1

Swahili Sentences Part 5

1) Dada yangu anaishi hapa karibu.
2) Mwanangu anaishi karibu na mto.
3) Baba yangu anaishi mbali na ziwa.
4) Stesheni la basi liko mbele ya benki.
5) Kitanda changu kina viroboto.
6) Viroboto vingi

7) Kuna chura na kitanda changu. - This says, "There is a frog and my bed." If you meant to say "under my bed", replace "na" with "chini ya". Alternatively, if you want to say "on my bed", replace "na" with "juu ya"

Вы хотите продвигаться быстрее?

Присоединяйтесь к этому обучающему сообществу и попробуйте выполнить бесплатные упражнения!

Не упустите возможность выучить язык, не выходя из дома. Ознакомьтесь с подборкой опытных преподавателей и запишитесь на свой первый урок прямо сейчас!

Начните учиться сегодня