寻找适合你的 英语 教师…
zachariah getubo
JE WAJUA??
Wajua kwamba kuna tofauti kati ya maneno haya mawili>
Neno kuwa na neno kua>
Kuwa ni kitenzi kisaidizi, pia ni kitenzi cha silabi moja ambacho huongezwa silabi >KU ili kuleta maana ya kutokea katika hali fulani au mahali fulani. Kwa mfano > Alikuwa darasani.
>Amekuwa akilima.
KUA ni kitenzi ambacho kinamaanisha > kuongezeka kwa binadamu katika kimo urefu na hata kunenepa.
Kwa mfano >Amekua mrefu.
>Amekua mnene.
2018年8月2日 08:01
zachariah getubo
语言技能
英语, 意大利语, 其他, 斯瓦希里语
学习语言
意大利语
你或许会喜欢的文章

How to Ask for a Raise or Promotion in English
9 赞 · 8 评论

The Key to Learning a Language Faster
30 赞 · 8 评论

Why "General English" is Failing Your Career (An Engineer’s Perspective)
30 赞 · 12 评论
更多文章
