zachariah getubo
辅导教师
Swahili weekly Word.
Farakana.
Jina hili huweza tumika badala ya neno zozana au Kosana.

mfano
Kenya inafarakana na Somalia kuhusu kipande cha ardhi katika pwani zao. 

2019年5月21日 16:02
评论 · 2
Neno Farakana  ni kitenzi.
ninafikiri mafarakano ni wakati kuna vurugu eneo tofauti tofauti
2019年6月4日
Kumuradhi, neno "farakana" nadhani sio jina bali ni kitenzi. jina litokanalo na kitenzi hicho ni mafarakano.
2019年5月28日