zachariah getubo
辅导教师
Swahili Weekly word TASNIA.

Hii ni nomino inayoashiria kazi ambayo mtu amesomea kuifanya. Neno hili ni sawa na (PROFESSION  )  katika lugha ya kiingereza.
Kwa mfano: Tasnia Ya Uanahabari.
                     Tasnia Ya ualimu.

The journalism profession 
The teaching profession

2019年6月8日 07:11