Svetlanka
Nataka kujifunza Kiswahili :) Shikamoo! Kwa majina naitwa Sveta. Naishi Urusi. Nasoma Swahili sasa hivi na nitafurahia usaidizi wowote. Asante sana.
2013年7月24日 11:49
修改 · 2
1

Nataka kujifunza Kiswahili :)

Shikamoo!
Kwa majina naitwa Sveta.
Naishi Urusi.
Nasoma Swahili sasa hivi na nitafurahia usaidizi wowote.
Asante sana.

2013年9月11日

 

Nataka kujifunza Kiswahili (correct)

Shikamoo! (shikamoo ni kwa waliokuzidi umli tu, you should say 'habali')
Kwa majina naitwa Sveta. (majina is more than one, you should say  kwa jina)
Naishi Urusi. (good)
Nasoma Swahili sasa hivi na nitafurahia usaidizi wowote.
Asante sana.(excellent)

2013年9月11日
想快些进步吗?
加入这个学习社区,来试试免费的练习吧!