Yote kunihusu
Hamjamboni, jina langu ni Daudi Zekaria (jina la Kiswahili nililojipa mwenyewe) na mimi ni shabiki wa lugha. Natoka mkoa wa Alberta, Kanada na nimekuwa nikijifunza Kiswahili (Kawaida/Tanzania) kwa karibu miezi mitano. Ningependa kujifunza Kiesperanto pia katika mwaka ujao. Tu kama wewe, nina shauku ya kuwasiliana na watu wa tamaduni na lugha mbalimbali.
Nikiwatakia mema kabisa,
Daudi