sea.piglet
Practice Mimi hufika kazini kwa wakati daima. Wakati wengi hufika mapema. Anapenda kwenda maktabini kwasababu anapenda kusoma vitabu. Ninapenda kusoma pia. Mama yangu humenipatea vitabu vyingi. Ninatoka kazi kila jioni na ninatembea nyumbani. Baada ya ninatembea kwa muda mdogo ninafika nyumba yangu. Bibi huchelewa daima. Ninasikia njaa sana. Nimekula kidogo saa sita iliopita. Alimpokea mtoto katika shulani.
2015年9月28日 13:16
修改 · 1
Hiki ni Kiswahili kizuri! Unapenda kusoma vitabu gani wakati una mara? David
2015年10月13日
想快些进步吗?
加入这个学习社区,来试试免费的练习吧!