sea.piglet
Ninaandika kwa Kiswahili Nilipokuwa shulani nilisoma vitabu vyingi uongeze maarifa ya historia. Alipokuwa Nairobi alikula vitunguu kidogo. Leo nitakapokuwa kazini nitafanya vitu vyingi. Paka wetu alipokuwa wadogo tulicheza na yeye. Mimi huandika kila siku niongeze maarifa ya Kiswahili. Tutakapokwenda Tanzania tunasudia kusema Kiswahili kila siku.
2015年10月12日 13:19
修改 · 2
1

Ninaandika kwa Kiswahili

Nilipokuwa shuleni nilisoma vitabu vingi kuongeza maarifa ya historia.
Nilipokuwa Nairobi nilikula vitunguu kidogo.
Leo nitakapokuwa kazini nitafanya vitu vyingi.
Paka wetu alipokuwa mdogo tulicheza na yeye.
Mimi huandika kila siku niongeze maarifa ya Kiswahili.
Tutakapokwenda Tanzania tunakusudia kusema Kiswahili kila siku.
2016年4月18日

Ninaandika kwa Kiswahili

Nilipokuwa shuleni shulani nilisoma vitabu vyingi ili niongeze uongeze maarifa ya historia.
Alipokuwa Nairobi alikula vitunguu kidogo.
Leo nitakapokuwa kazini nitafanya vitu vyingi.
Paka wetu walipokuwa wadogo tulicheza na nao yeye.
Mimi huandika kila siku niongeze maarifa ya Kiswahili.
Tutakapokwenda Tanzania tunakusudia kuongea kusema Kiswahili kila siku.
2016年2月26日
想快些进步吗?
加入这个学习社区,来试试免费的练习吧!