Nyarloka 
unasemaje ”self introduction” kwa Kiswahili?
2011年1月23日 17:30
回答 · 3
utambulisho binafsi kwa mfano: let me introduce myself-ngoja nijitambulishe kwanza
2011年6月23日
Asante Kimya nashukuru
2011年2月14日
self introduction = kujijitambulisha or kujijulisha. ex Ninataka kujitambulisha.
2011年1月29日
还未找到你的答案吗?
把你的问题写下来,让母语人士来帮助你!