Tamira is very nice, she taught me many things. The connection also was good. Huyu mwalimu alikuwa mzuri sana. I have already learned many things: nina paka, lakini sina mbwa. Ninapenda simba, lakini sipendi nyoka. Naweza kuongea kiswahili. Jina langu ni Andrea, ninaishi Roma, mimi ni mtaliano. Kuna simba Kenya? ndio. Asante sana!
2025年4月17日