尋找適合你的 英語 教師……
Dmitry
Mazoezi 4 Anapenda kuchora. Unataka kufanya safari? Ninapenda kushona na unapenda kufanya nini? Mgeni anataka kustarehe. Unapenda kusoma nini? Baba anataka kukaa wapi? Mama anapenda kupika na baba kusoma gazeti. Leo jioni ninataka kuandika barua.

修正 · 4

0

Mazoezi 4

Anapenda kuchora.

Unataka kufanya   kwenda  (you go for a safari, not do a safari)safari?

Ninapenda kushona,  na wewe unapenda kufanya nini?

Mgeni anataka kustarehe.

Unapenda kusoma nini?

Baba anataka kukaa( to live ) if you meant to sit down it would be keti wapi?

Mama anapenda kupika na baba kusoma gazeti.

Leo jioni ninataka kuandika barua.
0
Thank you, Jackline!)
0
Good work!

想進步快一點嗎?

加入此學習社群,來試做免費的練習吧!

Don’t miss out on the opportunity to learn a language from the comfort of your own home. Browse our selection of experienced language tutors and enroll in your first lesson now!

Start Learning Today