Swahili weekly word
Television - Runinga
Runinga
Neno runinga ni jina lingine la mashine ya kielektroniki iitwayo televisheni kwa kiswahili. Ingawa neno televisheni limekopwa kutoka lugha ya kiingereza "television".
Runinga ni neno ambalo limekua na historia ndefu. Kwanza kabisa, televisheni iliitwa 'MANINGA ' kwa maana ya kiangaza.
Baadaye wataalamu wa kiswahili walilibadilisha neno hili kuwa RUNGINGA.
Baadaye, majina yote ta kiasili yaliunganishwa na kuwa - RUNINGA.
Kwa kweli lugha hukua!!