Search from various English teachers...
Austin
Professional TeacherMimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
Mar 16, 2022 11:26 PM
Austin
Language Skills
Amharic, Chewa (Chichewa), English, Spanish, Swahili, Zulu
Learning Language
Zulu
Articles You May Also Like

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 likes · 17 Comments

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 likes · 12 Comments

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 likes · 6 Comments
More articles
