Find English Teachers
Mutai Ralph
Malipo katika lugha ya kiswahili

.  Kiokozi/kombozi: Malipo ya kukombolea kitu kilichotekwa nyara au kunyakuliwa.

. Urithi: Mali yaachwayo na hayati na kupewa mtu fulani.

. Rehani: Malipo ya kitu kilichowekwa dhamana ili kikombolewe baadaye.

. Pango: Kodi ya nyumba au chumba anayolipa mpangaji kila mwezi au baada ya muda fulani

. Honoraria: malipo/ pesa kama bakshishi kwa kufanya kazi maalum.

 

Jun 29, 2018 10:04 AM