Benjamin
Nini maana mithali hii??
Mgaagaa na upwa, hali wali mkavu!
Mar 16, 2020 8:02 AM
Comments · 1
2
Uko sahihi Waine ina maana ya mtu mhangaikaji hakosi riziki!
March 17, 2020