Search from various English teachers...
Diana Monkey
Twende!
Mimi ni mwanfunzi wa anthropoloji. Masomo yangu ni kuhusu nyani katika Afrika Magharibi. Katika wiki sita, nitaenda Cote d'Ivoire kufanya mazoezi yangu ya PhD. Ningependa si, katika Cote d'Ivoire, wao wanasema kiswahili kwa sababu ninafikiri kwamba kiswahili ni lugha bora kuliko kifaransa. Lakini sasa, ninahitaji kujifunza kifaransa. Sitaki kusahau kiswahili changu chote; kwa hivyo nitaandika hapa katika kiswahili tu!
May 3, 2013 2:36 AM
Corrections · 1
Twende!
Mimi ni mwanfunzi wa anthropolojia. Masomo yangu ni kuhusu nyani katika Afrika Magharibi. Katika wiki sita, nitaenda Cote d'Ivoire kufanya mazoezi yangu ya PhD. Ningependa si, katika Cote d'Ivoire, wao wanasema kiswahili kwa sababu ninafikiri kwamba kiswahili ni lugha bora kuliko kifaransa. Lakini sasa, ninahitaji kujifunza kifaransa. Sitaki kusahau kiswahili changu chote; kwa hivyo nitaandika hapa katika kiswahili tu!
May 3, 2013
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!
Diana Monkey
Language Skills
English, French, Hebrew, Spanish, Swahili
Learning Language
French, Hebrew, Swahili
Articles You May Also Like

English Vocabulary for Using Microsoft Office at Work
27 likes · 6 Comments

How to Answer “How Was Your Weekend?” Naturally in English
56 likes · 30 Comments

Why Some Jokes Don’t Translate: Understanding Humor in English
15 likes · 6 Comments
More articles
