Hello! Jina langu ni Beki. Nimefurahi kukutana na wewe. Jina lako nani? Mimi ni Muamerika. Nina miaka ishirini na tisa.
July 28, 2015
0
2
0
Nimefurahia kujuana na wewe me ni mkenya na kwa majina naitwa Emmanuel .Ninapendezwa ulivyo na ujuzi wa kukiandika kiswahili tia bidi ukite mizizi katika lugha hii tamu kutoka Afrika Mashariki
September 10, 2015
0
0
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!