zachariah getubo
Community Tutor
Hujambo Jumamosi na Jumapili huwa siku za kupumzika kwa hivyo. Jumamosi huwa ni siku ya kuabudu mungu wangu. Itimiapo Jumapili basi mimi hupumzika nyumbani na kula vyakula vitamu vitamu. Pia mimi hufanya mazoezi ya kimwili siku hii. Itimiapo jumatatu ni siku ya kuamkia darasani ili nikadurusu vitabu.
Oct 25, 2020 8:53 AM