Austin
Professional Teacher
Wazazi wengi hujaribu kuwapa watoto wao vitu ambavyo wamenunua lakini mimi nafikiri kwamba zawadi bora ni mara ambazo wazazi wanakaa na watoto wao. Sikumbuki vitu ambavyo wazazi wangu walininunuliwa nilipokuwa mtoto, lakini nakumbuka mara ambazo tulikaa pamoja na kuzungumza. Mara hizo ni muhimu zaidi ya pesa.
Jun 8, 2021 2:26 AM
Corrections · 1
Wazazi wengi hujaribu kuwapa watoto wao vitu ambavyo wamenunua, lakini nafikiri kwamba zawadi bora ni muda ambao wazazi wanakaa na watoto wao. Sikumbuki vitu ambavyo wazazi wangu walininunulia nilipokuwa mtoto, lakini nakumbuka muda ambao tulikaa pamoja na kuzungumza. Muda huo ni muhimu zaidi ya pesa.
June 25, 2021
Want to progress faster?
Join this learning community and try out free exercises!