From KenyaLiving in Eldoret, Kenya (18:31 UTC+03:00)
You'll acquire Swahili in a way that specifically works for you.
Utajifunza Kiwahili kwa ustadi.
About Me
italki teacher since Jan 19, 2023
My name is Faith, and I am from Eldoret, Kenya. I am warm hearted, kind, caring, observant, and a good listener. I love going for walks, listening to music, and dancing.
Jina langu ni Faith. Ninaishi katika mji wa Eldoret, uliopo nchini Kenya. Mimi ni mtu mkakamavu, mwenye furaha, mpole, msikivu na mkarimu. Ninapenda kuenda matembezini, kudensi na kusikiliza muziki.
Me as a Teacher
After graduating high school, the administration requested that I return to teach Swahili. I really enjoyed teaching that year, so I went to University to pursue Bachelor of Education Arts. Though situations led me to not finishing the program, I learned a lot from the two years of education and the one year of teaching which I will use to tailor lessons to each individual.
Baada ya kukamilisha masomo ya shule ya upili, nilipewa fursa katika shule yangu ya upili ili kufunza lugha ya Kiswahili. Nilienda katika Chuo Kikuu cha Katoliki Afrika Mashariki ili kusomea Shahada ya kwanza ya Elimu katika Jiografia na Kiswahili. Ujuzi nilioupata utanisaidia katika ufundishaji wa lugha ya Kiswahili.
My lessons & teaching style
I aim to create a relaxed environment with engaging and interactive activities to help the learner to truly aquire their additional language.
You will leave our time together with many memories to draw from for understanding and using Swahili.
Mazingira ya kusoma yatakuwa ya urafiki na masomo yetu yatakuwa ya kujadiliana. Wewe kama mwanafunzi utakuwa na uhuru wa kuuliza maswali na kuongezea hoja ikiwa utakuwa na la ziada la kusema. Pia, nitahakikisha kuwa unakuwa na wakati mwema darasani na unaisoma lugha ya Kiswahili kwa njia iliyo rahisi kuikumbuka na kuihifadhi akilini.
My teaching material
PDF file
Image files
Quizzes
Swahili Lessons
Trial Lesson
0 lessons completed
USD 5.00+
Swahili Basics for Beginners
A1 - C2General0 lessons completed
USD 6.00+
Package with 16% off
Availability
Based on your timezone (UTC+00:00)
Reviews
The teacher has no reviews yet. Book a lesson and be the first to leave a review!