Search from various English teachers...
Profile
Learning
Spanish
Italian
Language Skills
SwahiliNative
EnglishNative
Lesson Feedback
Lesson history
 Last monthLast 3 monthsAll time
Completed lessons0013
Attendance rate100%100%100%
Teacher reviews
Rosa Morocho
Spanish
Jul 28, 2020
Jackline is so sweet and is VERY eager to learn Spanish! Was very kind and confident with me. Apart from tha, she is inspiring me too! Great job Jackline. ❤
Luisely Navarro
Spanish
Jan 23, 2018
Jackline es muy amable, tiene muchísimas ganas de mejorar sus habilidades del idioma español y no me cabe la menor duda de que lo logrará porque tiene mucho entusiasmo y disposición en aprender.
Activities
  • Posted
    Swahili is the easiest language to learn
    I believe that Swahili is the easiest language to learn. Convince me otherwise!
    February 3, 2020
    4
    1
  • Corrected

    Insha yangu ya kwanza katika Kiswahili

    Hamjambo? Habari zenu? Nimefuhari kukutana nanyi! Jina langu Marcel. Mimi ni Mbrazil. Ninaishi magharibi ya jimbo la Sao Paulo. Nina umri wa miaka thelathini na minane. Mimi ni mtumishi wa umma — ninafanya kazi ya katibu shule. Nimeoa na tuna wana wawili; wote ni wavulana. Tuna paka watatu na samaki mmoja.

    Napenda kujifunza lugha ya kigeni. Lugha yangu ya asili ni Kireno na ninasema Kiingereza pia. Nimekuwa nikijifunza Kiswahili pekee yangu kwa majuma matatu. Ni lugha ya kuvutia!

    Kwaherini!
    0 voted
    August 26, 2017
    1
  • Corrected
    0 voted
    August 26, 2017
    0
  • Corrected

    Ndoa yetu

    Ninabusu shingo yako. Unagusa mwili wangu. Tuna jinsia katika ndoa wetu.
    0 voted
    August 26, 2017
    0
  • Corrected

    Does this sound correct?

    Habari, nawakaribisha/ninawakaribisha kwenye video yangu. (siku kama ya leo-a day like today)mimi hujifunza kuzungumza Kiswahili. Kiswahili ni rahisi kujifunza,lakini ninahitaji mazoezi zaidi. Leo, nitajifunza  kuandika kwa Kiswahili. Ni hayo(tu)kwa leo. Baadaye.
    0 voted
    August 26, 2017
    1
  • Corrected

    Swahili Sentences Part 5

    1) Dada yangu anaishi hapa karibu.
    2) Mwanangu anaishi karibu na mto.
    3) Baba yangu anaishi mbali na ziwa.
    4) Stesheni la basi liko mbele ya benki.
    5) Kitanda changu kina viroboto.
    6) Viroboto vingi
    7) Kuna chura kwenye/chini ya kitanda changu.
    0 voted
    August 26, 2017
    0
  • Corrected

    Utangulizi kwa Kiswahili

    Jamboni,

    Mimi ni Eduardo, natoka katika Kosta Rika. Sasa hivi, najifunza Kiswahili kwa sababu napenda sana lugha za Afrika. Mimi ni mwalimu wa Kiingereza. Naweza kusema lugha nyingi. Mimi ni mwanzishi*means someone who started something* mwanzashi, nasema Kiswahili kidogo tu.Labda  Ladba  wewe waweza kunisaidia nikusaidia. Asante sana kwa msaada wako yako

    0 voted
    June 18, 2017
    0
  • Corrected

    Mwanawake Mfupi

    Mwanawake ni mfupi. Yeye ana mita mmjoa. Anavaa pete, hereni, na sketi iliokazwa.

    Mwanamke Mfupi.

    Mwanamke mfupi ni mita moja.Amevaa pete, herini na sketi iliyomkaza.

    0 voted
    June 18, 2017
    0
  • Commented
    i am in!skype id lynn.jacky
    0 voted
    June 16, 2017
    0
  • Corrected

    Kiswahili

    Jambo-mambo! Ninamwanzo kujifunza ligha hii ni Kiswahili kizuri miaka miwili iliyopita na nafurahi nilifanya hivyo! Ninataka kusema asante kwa mtandao Italki kwa sababu nimeona hapa marafiki mapya na maema sana! Ninapenda Africa kabisa lakini naishi Urusi. Nchi yangu mkubwa na mguvu napenda pia!


    jambo!nilianza kujifunza lugha hii nzuri ya kiswahili miaka miwili iliopita na nafurahi nilifanya hivyo. Ningependa kusema asante kwa mtandao wa italki kwa sababu nimeona hapa marafiki wapya na wema.Ninapenda Afirka kabisa lakini ninaishi Urusi.Nchi yangu ni kubwa na yenye nguvu.Naipenda pia.

    0 voted
    August 30, 2016
    0