Bài chữa · 3
Utangulizi kwa Kiswahili
Jamboni,Mimi ni Eduardo, natoka katika Kosta Rika. Sasa hivi, najifunza Kiswahili kwa sababu napenda sana lugha za Afrika. Mimi ni mwalimu wa Kiingereza. Naweza kusema lugha nyingi. Mimi ni mwanzishi*means someone who started something* mwanzashi, nasema Kiswahili kidogo tu.Labda Ladba wewe waweza kunisaidia nikusaidia. Asante sana kwa msaada wako yako
Utangulizi kwa Kiswahili
Jamboni,Mimi ni Eduardo, natoka katika Kosta Rika. Sasa hivi, najifunza Kiswahili kwa sababu napenda sana lugha za Afrika. Mimi ni mwalimu wa Kiingereza. Naweza kusema lugha nyingi. Mimi ni mwanzashi, nasema Kiswahili kidogo tu. Ladba wewe waweza kunisaidia. Asante sana kwa msaada wako.
Hujambo Eduardo? Habari yako? Naona kiswahili chako ni kizuri! Najua uliandika zoezi hili muda mrefu uliopita. Bila shaka, umeshazidi kujua kiswahili sasa, lakini ikiwa bado hujapewa masahihisho, nataka kukusaidia. Mimi ni mwanafuzi pia, lakini nimesoma kiswahili muda mrefu. Natumaini masahihisho haya yatakusaidia! Kazi njema!
How are you Eduardo? How are things? I see/feel your Swahili is good! I know you wrote this exercise a long time ago. Without a doubt, you have already learned more Swahili, but if you still have not received corrections, I want to help you. I am also a student, but I have studied Swahili for a long time. I hope these corrections will help you! Kazi njema! (well wishes for your work!)
Jamboni, Hujambo/Hamjambo? [the prefix for singular you is hu- and for plural you is ham-]Mimi ni Eduardo, natoka katika Kosta Rika. Sasa hivi, najifunza Kiswahili kwa sababu napenda sana lugha za Afrika [It's better to say lugha za Kiafrika]. Mimi ni mwalimu wa Kiingereza. Naweza kusema lugha nyingi. Mimi ni mwanzashi Ninaanza tu [to say "mwanzishi" is to say "the founder/starter." There isn't a really good word for "beginner" that I know of. Try "I am just starting" instead], nasema Kiswahili kidogo tu. Ladba wewe waweza nikusaidia kunisaidia [nikusaidia would be like "I help you." To say "you help me," it's kunisaida]. Asante sana kwa msaada yako wako [msaada is in the "u" class, so it takes the wa- prefix].
Bạn muốn tiến bộ xa hơn?
Hãy tham gia cộng đồng học tập này và thử nghiệm những bài tập miễn phí!
Đừng bỏ lỡ cơ hội học ngoại ngữ ngay tại nhà. Hãy xem danh sách các gia sư ngôn ngữ giàu kinh nghiệm của chúng tôi và đăng ký buổi học đầu tiên ngay hôm nay!
Bắt đầu học hôm nay
