Tìm kiếm từ nhiều giáo viên Tiếng Anh...
Psi-Lord
Insha yangu ya kwanza katika Kiswahili Hamjambo? Habari zenu? Nimefuhari kukutana nanyi! Jina langu Marcel. Mimi ni Mbrazil. Ninaishi magharibi ya jimbo la Sao Paulo. Nina umri wa miaka thelathini na minane. Mimi ni mtumishi wa umma — ninafanya kazi ya katibu shule. Nimeoa na tuna wana wawili; wote ni wavulana. Aidha tuna paka watatu na samaki mmoja. Napenda kujifunza lugha ya kigeni. Lugha yangu ya asili ni Kireno na ninasema Kiingereza pia. Nimekuwa nikijifunza Kiswahili peke jangu kwa majuma matatu. Ni lugha ya kuvutia! Kwa herini!

Bài chữa · 3

1

Insha yangu ya kwanza katika Kiswahili

Hamjambo? Habari zenu? Nimefuhari kukutana nanyi! Jina langu Marcel. Mimi ni Mbrazil. Ninaishi magharibi ya jimbo la Sao Paulo. Nina umri wa miaka thelathini na minane. Mimi ni mtumishi wa umma — ninafanya kazi ya katibu shule. Nimeoa na tuna wana wawili; wote ni wavulana. Tuna paka watatu na samaki mmoja.

Napenda kujifunza lugha ya kigeni. Lugha yangu ya asili ni Kireno na ninasema Kiingereza pia. Nimekuwa nikijifunza Kiswahili pekee yangu kwa majuma matatu. Ni lugha ya kuvutia!

Kwaherini!
1

Insha yangu ya kwanza katika Kiswahili

Hamjambo? Habari zenu? Nimefuhari kukutana nanyi! Jina langu ni Marcel. Mimi ni Mbrazil. Ninaishi magharibi ya jimbo la Sao Paulo. Nina umri wa miaka thelathini na minane. Mimi ni mtumishi wa umma — ninafanya kazi ya katibu shule. Nimeoa na tuna wana wawili; wote ni wavulana. Aidha tuna paka watatu na samaki mmoja.

Napenda kujifunza lugha ya kigeni. Lugha yangu ya asili ni Kireno na ninasema ninazungumza Kiingereza pia. Nimekuwa nikijifunza Kiswahili peke jangu yangu kwa majuma matatu. Ni lugha ya kuvutia!

Kwa herini!


Your swahili is very good, i'm impressed. Keep it up.

Bạn muốn tiến bộ xa hơn?

Hãy tham gia cộng đồng học tập này và thử nghiệm những bài tập miễn phí!

Đừng bỏ lỡ cơ hội học ngoại ngữ ngay tại nhà. Hãy xem danh sách các gia sư ngôn ngữ giàu kinh nghiệm của chúng tôi và đăng ký buổi học đầu tiên ngay hôm nay!

Bắt đầu học hôm nay