Search from various ภาษาอังกฤษ teachers...
Austin
ผู้สอนมืออาชีพMimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
16 มี.ค. 2022 เวลา 23:26
Austin
ทักษะด้านภาษา
ภาษาอัมฮาริก, ภาษาเชวา (ชิเชวา), ภาษาอังกฤษ, ภาษาสเปน, ภาษาสวาฮีลี, ซูลู
ภาษาที่เรียน
ซูลู
บทความที่คุณอาจชอบ

Same Word, Different Meaning: American, British, and South African English
21 ถูกใจ · 17 ความคิดเห็น

How to Sound Confident in English (Even When You’re Nervous)
15 ถูกใจ · 12 ความคิดเห็น

Marketing Vocabulary and Phrases for Business English Learners
13 ถูกใจ · 6 ความคิดเห็น
บทความเพิ่มเติม
