Search from various Tiếng Anh teachers...
Austin
Giáo viên chuyên nghiệp
Mimi na mke wangu tutaenda nyumbani kwa rafiki yetu. Nafurahi sana kwa sababu nimeshikwa na kazi na masomo kwa muda mrefu kwa hivyo hii ni nafasi ya kupumzika kidogo. Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya uzamili na juma hili ni juma la livu. Hata hivyo, kwa sababu nina kazi nyingi, ninahitaji kufanya mazoezi na kusoma hata sasa. Nitafurahi sana mwisho wa juma utakapofika kwa sababu nitaweza kutumia muda na mke wangu na rafiki zangu bila kuwa na wasiwasi kuhusu masomo yangu.
16 Thg 03 2022 23:26

Đừng bỏ lỡ cơ hội học ngoại ngữ ngay tại nhà. Hãy xem danh sách các gia sư ngôn ngữ giàu kinh nghiệm của chúng tôi và đăng ký buổi học đầu tiên ngay hôm nay!