Patricia
My first Swahili lesson Today I've learned these sentences: Jina lako ni gani? Jina langu ni Patricia/ Mimi naitwa Patricia. Ni heri kukutana nawewe. Una fanya kazi gani? Mimi ni mwalimu. Una miaka mingapi? Nina miaka ishirini na nne. Sasa ni saa ngapi? Sasa ni saa sita na dakika arobaini na saba. Una toka wapi? Mimi natoka Rio. Unapenda nini? Napenda kupigana. Unasoma skuli? Ndio. Unasoma wapi? Nasoma chuo kikuu. Uko mwaka wa ngapi? Niko mwaka wa mwisho. Umewahi kusafiri? Ndio, nimewahi kusafiri Uchina. Nimechoka... Tutaendelea tena baadae. Kwaheri! :D
6 Thg 09 2014 16:20
Bài chữa · 2
jina lako ni nani siyo jina lako ni gani 。
16 tháng 2 năm 2015
Vizuri sana Patricia. Wewe ni mwanafunzi mwenye bidii sana ( you are a very hardworking student ). Keep practicing and see you in the next session :) Tukutane kesho :) Kwaheri
6 tháng 9 năm 2014
Bạn muốn tiến bộ xa hơn?
Hãy tham gia cộng đồng học tập này và thử nghiệm những bài tập miễn phí!