zachariah getubo
Gia sư cộng đồng
Katika mwishoni mwa wiki jana, nlifunga safari kuelekea shuleni kwa mwaka wangu wa mwisho katika chuo kikuu. Hivyo basi, siku ya Jumamosi nlisafiri takriban kilomita mia tatu hamsini tokea Kaunti yangu inayoitwa Kisii hadi Kaunti ya Uasin Gishu. Ninafurahia sana kwa kuwa nitamaliza masomo yangu ya chuo kikuu hivi karibuni.
18 Thg 10 2020 10:22